14 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Julai ni siku ya 195 ya mwaka (ya 196 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 170.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1789 - wananchi wa Paris wanavamia ngome ya Bastille, ushindi wa Mapinduzi ya Ufaransa, sikukuu ya kitaifa nchini Ufaransa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 926 - Murakami, mfalme mkuu wa Japani (946-967)
- 1777 - Tanomura Chikuden, mchoraji kutoka Japani
- 1904 - Isaac Bashevis Singer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1978
- 1913 - Gerald Ford, Rais wa Marekani (1974-1977)
- 1918 - Ingmar Bergman, mwongozaji wa filamu kutoka Uswidi
- 1921 - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 1935 - Ei-ichi Negishi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2010
- 1960 - Angelique Kidjo, mwanamuziki kutoka Benin
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1610 - Mtakatifu Fransisko Solano, O.F.M., padri kutoka Hispania na mmisionari huko Amerika ya Kilatini
- 1614 - Mtakatifu Kamili wa Lellis, padri na mwanzilishi kutoka Italia
- 1954 - Jacinto Benavente, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1922
- 1978 - Margaret Widdemer, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kamili wa Lellis, Optasiani, Visenti Madelgari, Machelmo, Toskana, Fransisko Solano, Yohane Wang Guixin n.k.